kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Rapa mwenye asili ya Tanzania Allan Kyariga maarufu kama Allan Kingdom Kwa mara ya atawania tuzo kubwa na zenye heshima ya kipekee duniani, Tuzo za Grammy. Allan Kingdom, mama yake ni mtanzania na baba yake ana asili ya marekani ametajwa kuwania tuzo za Grammy 2016 katiak vipengele viwili. Rapa huyo mwenye uwezo wa kipekee ameshirikishwa na Kanye West kwenye album yake ya mwaka huu ?So Help Me God?. Rapa huyo aliyezaliwa mwaka 1994 nchini Canada Wimbo wake wa ?ll Day?umemuwezesha kutajwa katika vipengele vya Best Performance na Best Rap Song zinazopatikana kwenye album yake ya Ep Nne.
https://www.youtube.com/watch?v=EA9FR1kiWxE
https://www.youtube.com/watch?v=EA9FR1kiWxE