Rapaz special thread

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Baada ya msanii Harmo rapa anafananishwa na harmonize kupata umaarafu na kutoka kisanii...

Neno RAPA hivi karibuni linaweza kutumika rasmi kama neno lenye tafasiri Sawa na KUFANANA.

Hivyo basi hebu tuchangie thread hii Kwa kuweka picha za watu maarufu na RAPA zao ili hao Rapaz na wao watoke kimaisha kama msanii maarufu baada ya darasa Kwa sasa Harmo rapa

Harmo rapa na wolper rapa


diamond rapa

kiba rapa
 
tunaweza na RAPA wengine karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…