Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

sambulugu

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
4,485
Reaction score
8,562
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe!

Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk!

Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya utendaji ni mbovu ikiwa ni pamoja na kupenda udokozi.

Tambueni tu hichi chama saizi kiko kwa wenye chama akina Makamba na Mosses.

Chegeni jitahidi kukumbuka kuwa mlimkejeli Magufuli ukijifariji kuwa kwa vile yu mauti mambo yako yataenda unavyotaka bila kujua kuwa watu wa ukanda huo wa nyonyo hususani wenye nasaba ya Magufuli hamtakiwi ila kwa vile mengi wenu ni vichwa maji hamjui!

Humuoni hata Kafulila, Msukukuma wa Kigoma katemwa! Robert Gabriel msukuma wa Shinyanga naye katemwa!

Akili mkichwa!
 
Umejaza tu upuuzi kichwani! Mliendekeza ukabila kwa iyo kila kitu mnakihusisha na ukabila wajinga nyie

Samia hateui na kutengua watu kwa sababu ya kabila wajinga nyie

Alafu aliyekwambia kafulila ni msukuma na wewe ukaamini basi atakuwa amekuona wewe ni zuzu la mwisho duniani hapa
 
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe!
Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk!
Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya utendaji ni mbovu ikiwa ni pamoja na kupenda udokozi!
Tambueni tu hichi chama saizi kiko kwa wenye chama akina Makamba na Mosses!
Chegeni jitahidi kukumbuka kuwa mlimkejeli Magufuli ukijifariji kuwa kwa vile yu mauti mambo yako yataenda unavyotaka bila kujua kuwa watu wa ukanda huo wa nyonyo hususani wenye nasaba ya Magufuli hamtakiwi ila kwa vile mengi wenu ni vichwa maji hamjui! Humuoni hata Kafulila msukukuma wa Kigoma katemwa!,Robert Gabriel msukuma wa shinyanga naye katemwa! Ajili mkichwa!

Na Ali Hapi ni msukuma wa wapi? Maana naona sukuma gang mmepotezwa hadi mnaanza story za upotoshaji, eti Kafulila ni msukuma wa Kigoma!
 
Hatarii sana

Na Ali Hapi ni msukuma wa wapi? Maana naona sukuma gang mmepoteza hadi mnaanza story za upotoshaji, eti Kafulila ni msukuma wa Kugoma.
Kwa vile anatoka kigoma unajua ni muha? Baba yake alikuwa mwalimu huko ila katokea usukumani! Tambua kuanzia leo!
 
Kwa vile anatoka kigoma unajua ni muha? Baba yake alikuwa mwalimu huko ila katokea usukumani! Tambua kuanzia leo!

Huu upuuzi unaoongea hapa ni ule ule wa wajaluo wa Kenya wakati Obama kachaguliwa kuwa rais wa US, wakawa wanalazimisha ionekane ni ndugu yao. Hivyo na ww ili bandiko lako la uchuro lipate nguvu inabidi useme Kafulila ni msukuma. Sasa nimekuuliza Ali Hapi ni msukuma wa wapi?
 
Back
Top Bottom