Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

Sasa uchawa unaingiaje ikiwa mtu ni zero brain?

Ukiwa chawa wa Samia hakikisha uko vizuri kwenye kazi,uchawa tuu haiwezi kukusaidia..

Kazi iendelee
 
Na mikoa iliyobaki nonsense kabisa huu ni udini umekujaa iv kuna watu wa dini Fulani ndio wako kwa ajili ya uongozi..uongozi ni uwezo wa mtu na sio dini wala kabila hii ni propaganda mbaya Sana unayoileta
 
TAKUKURU mjiandae nadhani mmeona bosi mwenzenu wa magereza alivyonusurika kwa jinsi mnavyofanya KAZI nyie mnatakiwa kufutwa kabisa mmekuwa mnatesa watu kwa kesi za kisiasa
 
Lakini haiondoi ukweli kuwa Baba yake Obama ni Mkenya.
 
Mmh!

Tuhuma kubwa sana hii mkuu.

Ila unajua athari zake? Ingawa sipo pamoja na huyu bi mkubwa ila hapa umeteleza mkuu.
 
Mwanangu kua uyaone.
 
Na Ali Hapi ni msukuma wa wapi? Maana naona sukuma gang mmepotezwa hadi mnaanza story za upotoshaji, eti Kafulila ni msukuma wa Kigoma!

Sukuma Gang hatuwezi potezwa kijana mdogo ww,huoni viongozi wengi kwa sasa wanafanya harakati zao kanda ya ziwa ili kuiharibu Legacy ya mzee kidevu ila bado tu.
 
Sukuma Gang hatuwezi potezwa kijana mdogo ww,huoni viongozi wengi kwa sasa wanafanya harakati zao kanda ya ziwa ili kuiharibu Legacy ya mzee kidevu ila bado tu.

Dhalimu angekuwa anakubalika hivyo angepora uchaguzi? Eti kanda ya ziwa, CCM wenyewe ndio wanaogopa kivuli chao. Ile propaganda kuwa Magufuli alikuwa anakubalika kanda ya ziwa, wameifanya wenyewe na kuiamini wenyewe!
 
Fatma Mwasa morogoro kobazi
Zenab Telack Lindi Kobazi

Homera Mbeya Kobazi
Kunenge Pwani kobaaz
Waziri kindamba Kobaz

Na wengine weeengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…