Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!


Amelala yooo
 
Kipimo gani icho kinaonesha kabila la mtu kwenye damu?
Katika vitu alivyofeli Mwalimu Nyerere ni kufuta adui ujinga.

Sasa wamezaliwa wajinga wengi zaidi tena wajinga wa kileo wana degree kabisa za University, na hii ni hatari sana kwa mustakabari wa Taifa.
 
Sahii kabisa
 
Hakuna cha hoja za ukabila ila ujue kabisa mama anajaza timu yake ya wavaa madera! Mfano mkuuwa mkoa wa mwanza Malima uwezo wake mdogo alishakuwa mara badae Tanga hakuna la Maana alilofanya tofauti na kuwa mtu wa ndumba na majini!
Nawewe si ukatafute hayo majini,ujipatie teuzi.
 
Hata waitara, mtatiro na waunga kuhusu wote wapo kimya wanalijua hili.
 
Huenda alikupa mimba akakuacha!
 
Unajua nashindwa kumuelewa mama ANATAKA Nini!!

Kwanini anateua halafu mtu bado hajaanza Hata kazi anatengua!hajiamini!?amelogwa!?anasaidiwa kuteua!!?

Poa lakini;-

"Rasimu ya warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!
Mamaaaae, misukule ya Jp sasa inataka katiba mpya! Ni heri nchi hii iongozwe na msomali kuliko sukuma
 
Hakuna cha hoja za ukabila ila ujue kabisa mama anajaza timu yake ya wavaa madera! Mfano mkuuwa mkoa wa mwanza Malima uwezo wake mdogo alishakuwa mara badae Tanga hakuna la Maana alilofanya tofauti na kuwa mtu wa ndumba na majini!
Umeongea ujinga,
 
Sasa mbona umetaja mikoa michache sana iliyopewa waislam? Mingne je? Udini unawapeleka sana nyie mafala
 
Nakwambia kateua wavaa madera wengi sana akijipanga kwa uchaguzi,pia tatizo la hawa ndugu zetu kazi hawawezi mswahili ndo jadi yao!
Mtakufa bure na kihoro cha udini, ktk taja idadi ya mikoa yote then ulete list yote uoneshe waislam na wakristo wengi ni wapi.
 
CCM mnachambana!Wote ni matakulations tu.😂😂😂😂
 
Bwana Gabriel na upole wake fyekelo[emoji23][emoji23][emoji23]life is a mofo. Nobode knows tumoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…