"Rapid test" for hiv vanish

lake zone

Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
47
Reaction score
52
Nikiwa Mtanzania mwenye mawazo chanya niliye oanisha mapungufu ya kinga ya kondom dhidi ya virusi vya ukimwi,leo hii natoa maoni yangu juu ya uzuiaji wa usambaaji wa virusi vya ukimwi.

Ikiwa condom ni shilingi 500 mpaka 3000 kwa pakiti wakati rapid test kifaa cha kujua kama ni mzima au hapana ni shilingi 1500 ni kwa nini tusipewe elimu ya kutumia Rapid Test na kuweza kujipima afya zetu kabla ya kujamiana kwa usalama wa afya zetu.

Serikali makini italifikiria hili kuwa ni bora rapid test zikawa zinagaiwa kwa watu hata bila malipo kuliko kugaiwa comdom bure ambazo uwezo wa kuzuia ni mdogo hadi kufikia asilimia 30%,wakati Rapit Test ikijibu imejibu na ni uhakika kwani hii naamini itabaki kuwa njia pekee ya kuzuia maambukizi.

Nawasilisha kwenu watanzania wenzangu.
 
Ukimwi waweza kukaa 3 months bila kuonekana! Sasa labda wataalam waseme
 
Jifunze kuhusu rapid tests z HIV ndio uje na ushauri wako bomu kwa taifa.
 
Mkuu, ningekushauri kupitia tena hiyo elimu yako ya "Rapid HIV test", pili elimu ya upimaji na tatu algorithm ya upimaji Tanzania. Ukimaliza ukiwa na mawazo haya bado tafadhali rudi hapa jukwaani.
 
Afadhali condom utaliangamiza taifa sidhani kama kuna msomi yeyote atakae fuata ushauri wako. Ukimpima mtu leo na hiv rapid test ikisoma negative je akiwa kwenye window period
 
ugekuwa karbu yangu ninge kuchapa viboko...!! je unafkir iyo cansl wa2 wanayo pewa...ni kazi yakijinga..!? .....mkipewa elmu ya rapd test idad ya vifo vyakujitoa muhanga sindo ita ongzeka....
 
HAPANA!
1. Ni vibaya sana kupima HIV bila ya counselling ya kutosha
2. HIV Rapid tests zina false negative na false positive nyingi sana, utaona negative ukaacha condom kumbe mwenzako anao
3. Una option ya kwenda kupima na mwenzako unayetaka kuingiliana naye na kutumia condom kwa ufasaha ili kupunguza maambukizi
4. Zinaa inaachika bila gharama yoyote
5. Efficiency ya condom sio chini kiasi hicho (30%), otherwise hiyo uliifua ukaanika juani
 
Naomba kufahamishwa zaidi
Kuna aina ngap ya vipimo vya HIV??
Je microscope inaweza kuonesha/kutambua VVU?!

Kunatetesi nimewah kusikia kuwa MTU unaweza kuwa na mafua au homa then ukapima VVU ukaonekana una VVU+ kumbe unakirus cha mafua na sio VVU. Je kunaukweli wowote hapa???

Asanteni
 
kwa saiv vipo vipimo 2 ambavyo ni determine na unGold ila zamani kulikuwa na SD BIOLINE.....kuhusu microscope hazwez kuonyshe virus corse are smallest micro organism...ili kuweza kujua presence of virus lazma ufanye serology(antbody&antgen reaction)
ila katika soma soma zangu za medical nmesha wahi skia Electronic microscope ambyo iko mwimbili 2 ndo inauwezo wakuona HIV virus ila sina huwakika sana!!?
 
Elimu ya ukimwi kwa mapana yake,kuanzia kuingia kwake,kinga,vipimo vyake hadi kufikia dawa za kupunguza makali ya Virusi na mafanikio kuelekea upatikanaji wa dawa ni elimu pana sana kwa ujumla wake..tujitahidi kusoma kila kukicha na elimu izidi kutolewa kuhusu HIV kwa jamii kwa ujumla..
Tunahitaji kuwa makini sana na gonjwa hili..Ugonjwa huu unamhusu kila mmoja wetu tujitahidi tuweze kuwa salama.
 
Kuhusu rapid test napinga kwa sababu ni kipimo cha bei rahisi sana na tathminiu yake ni ya miezi mitatu japokuwa kuna vipimo viwili hapa Dar ambavyo vinatambua Virusi ndani ya siku 3 mpaka 10 baada ya kuingia mwilini. Kwa wapenzi wenye desturi ya kupima hichi nikpimo kizuri sana kwa sababu mkipima rapid test unajua Afya ya mwenzi wako miezi mitatu liyopita.
 
Ninawasihi watu kabla ya kukimbilia kupinga kwanza watulize munkari na kuanza kudadisi/kuhoji haya nitakayosema.Inaonekana bado kuna watu wengi hawajui ukweli halisi kuhusu HIV/AIDS.HIV/AIDS ni ugonjwa feki,haupo kiuhalisia(najua lazima utakuwa na hasira na mimi,tulia kwanza);

Ukimwi waweza kukaa 3 months bila kuonekana! Sasa labda wataalam waseme

Mkuu,ulichosema hapo juu unakielewa?Ukimwi unaweza kuwa nao/kuonekana wakati wowote,hata sasa hivi.Kinga yako ya mwili inaweza kushuka wakati wowote ule.Ukiwa na mawazo mengi kupindukia,kama huli vyakula bora,unakunywa sana pombe bila kula vizuri,unatumia sana madawa ya hospitali kama vile ARVs,antibiotics nk,unatumia madawa ya kulevya nk.Ukimwi hautishi kama watu walivyopumbazwa,ni upungufu wa kinga tu,na upungufu wa kinga ulikuwapo tangu karne nyingi zilizopita na hausababishwi na HIV.Hivyo tambua kwamba Ukimwi/AIDS na HIV/AIDS ni mambo mawili tofauti,hayafanani kwa namna yoyote.

Kwenye namba 2 hapo;Hongera,angalau unajua kwamba majanga yanaanzia kwneye vipimo na unajua kwamba vipimo si salama/feki.Nitaeleza kwa nini watumia vipimo vya namna hii na hawatumii elctronic microscope.Ukijua yote ninayotaka ujue hapo ndipo utakapojua kwamba HIV/AIDS ni biashara kubwa sana inayotumia uongo wa kisayansi kuficha ukweli,hata madaktari ambao sio wadadisi nao wameingia kwenye mkumbo huu wa kudanganywa.Wenzetu wana akili kubwa sana.Ukifanana nao kwenye uwezo wa kufikiri,hawatakudanganya kamwe.

Kwenye namba 3 na 4;Ukimwi hausababishwi na zinaa.Ukimwili unatokana na style ya maisha kama nilivyoeleza hapo juu na hausababishwi na HIV.Ukianza kupinga bila kuhoji utakuwa umejifungia milango yako ya fahamu mwenyewe kuujua ukweli.

....Je microscope inaweza kuonesha/kutambua VVU?!...

Kama VVU angekuwa halisi wasingeshindwa kutumia microscope.VVU ni wakufikirika na ametumika kama agent wa kubuni ili wapitishie uongo wao huko na hatimaye wapate tiketi ya kuuza ARVs ambazo hasa ndizo zinazosababisha AIDS kwa wale wanaozitumia.Hivyo kutuimia microscope kutafichua ukweli huu na kibaya zaidi hawatapata hata mtu mmoja ambaye ameathirika na VVU.VVU hajawahi kutengwa peke yake maabara/hajawahi kuwa isolated,na hata ile picha ya HIV iliyo kwenye vitabu ni ya kubuni.

.....Kunatetesi nimewah kusikia kuwa MTU unaweza kuwa na mafua au homa then ukapima VVU ukaonekana una VVU+ kumbe unakirus cha mafua na sio VVU. Je kunaukweli wowote hapa???

Asanteni

Ukweli upo kabisa.Ukijua sayansi inayotumika kwenye vipimo hivi hilo halina ubishi.Vipimo hivi havitambui HIV kwa kumuona,bali hupima muonekano wa antibodies dhidi ya protini fulani ambazo husadikika zimetoka kwa HIV.Fahamu pia kwamba,protini hizi sio maalum/specific kwa huyo HIV waliomtaja pekee,bali pia huweza kuzalishwa kutokana na hali/mambo mengi yanayojitokeza mwilini,mfano;magonjwa mbalimbali kama vile TB na hayo uliyotaja hapo juu nk.Wanawake wenye mimba pia huweza kuwa na protini hizi.Hivyo mtu yeyote anaweza kupimwa HIV+ muda wowote bila kujali kama yeye ni bikira au la,ukijua sayansi ya vipimo hivi utajua ukweli.Na ndio maana leo mtu anapimwa HIV+ siku nyingine anapimwa HIV- na mkanganyiko huu unaendelea maisha yote.

kwa saiv vipo vipimo 2 ambavyo ni determine na unGold ila zamani kulikuwa na SD BIOLINE.....kuhusu microscope hazwez kuonyshe virus corse are smallest micro organism...

Kama unachosema hapo kwenye nyekundu ni kweli,Je,yule HIV mwenye umbo la kutisha tunayemwona kwenye vitabu wamemwonaje/wametumia vyombo gani?Na kwa nini na sisi tusitumie vyombo hivyo hivyo walivyotumia kama kweli vipo?

..ili kuweza kujua presence of virus lazma ufanye serology(antbody&antgen reaction...

Hiki ndicho kinachofanyika.Na kipimo kinachotegemewa hapa ambacho ndio wametuamisha kwamba ndio accurate kinaitwa PCR,mgunduzi wa hiki kipimo anaitwa Kary Mullis(Nobel prize winner).Fahamu kwamba Kary Mullis hakutengeza kipimo hiki kwa ajili ya kupima VVU.Je,unajua kwamba huyuhuyu Kary Mullis aliyegundua kipimo hiki,hakubali kwamba HIV anasababisha AIDS?Hili ni muhimu pia ukalijua,kwa kuwa ni jambo la msingi linaloweza kukutengenezea wewe mashaka ili na wewe uanze kujiuliza kwa nini huyu mtu muhimu hakubaliani na maelezo kwamba HIV anasababisha AIDS.

....ila katika soma soma zangu za medical nmesha wahi skia Electronic microscope ambyo iko mwimbili 2 ndo inauwezo wakuona HIV virus ila sina huwakika sana!!?

Si kweli,kama huamini fanya utafiti/fuatilia utajua tu.Hivi vitu mtakuwa mnavisikia tu,hamtakuja mvione kwa macho yenu.Kila siku mtaambiwa "wanasayansi wanakaribia kupata dawa ya ukimwi" lakini hamtakuja msikie imepatikana.Hii ni biashara ya kisayansi ya kuuza madawa,watu wenye uwezo mdogo wa kujua mambo hawatajua ukweli huu.Lazima uanze kuwa mdadisi ndio utajikwamua na janga hili.Dawa ya HIV/AIDS ni kuruhusu akili zako kuhoji,utajua tu ukweli uko wapi.Mimi naiamini sana akili ya mwanadamu,ina uwezo mkubwa sana kama utairuhusu ifanye kazi sawasawa.

Elimu ya ukimwi kwa mapana yake,kuanzia kuingia kwake,kinga,vipimo vyake....

Unachosema ni kweli elimu hii ni pana.Lakini elimu ile tunayoijua sisi/tuliyoambiwa si elimu ya halisi/kweli,elimu ya kweli kuhusu VVU/Ukimwi imefichwa,wanaijua watu wachache sana katika nchi masikini kama Tanzania.Mmojawapo ni mimi.Kuwa tayari kuniuliza na kunisikiliza na wewe utaujua ukweli wake.

Elimu ya ukimwi kwa mapana yake,kuanzia kuingia kwake,kinga,vipimo vyake hadi kufikia dawa za kupunguza makali ya Virusi na mafanikio kuelekea upatikanaji wa dawa ni elimu pana sana kwa ujumla wake..

Hakuna dawa za kupunguza makali ya virusi,hakuna virusi vyenye uwezo wa kusababisha ukimwi duniani hivyo hatutegemei pia kuwe na dawa yake kwa kuwa havipo.Hutawahi katika maisha yako kusikia dawa ya VVU/Ukimwi imepatikana,vinginevyo utasikia porojo na siasa tu.

... ni elimu pana sana kwa ujumla wake..tujitahidi kusoma kila kukicha na elimu izidi kutolewa kuhusu HIV kwa jamii kwa ujumla..

Hilo la kujitahidi kusoma,nakubaliana na wewe,lakini si kusoma kuhusu HIV bali kusoma ili kubaini uongo kuhusu HIV.

....tunahitaji kuwa makini sana na gonjwa hili..Ugonjwa huu unamhusu kila mmoja wetu tujitahidi tuweze kuwa salama.

Hatuhitaji kuwa makini na gonjwa hili bali tunahitaji kuwa makini na uongo tuliolishwa kuhusu gonjwa hili feki.Ukianza kutumia ARVs ndio utakapojikatia tiketi mwenyewe ya kuondoka duniani,ni suala la muda tu.

Haya ndio mambo waliyotaka tuyajue,tuwe na akili za kufikiria kupima tu kila kukicha.Kampeni zote hizi zimeanzishwa na watu wa marekani.Kupima ndio mpango mzima,kwa kuwa bila watu kupima hawawezi kupata wateja wa ARVs.Mtu atatumiaje ARVs bila kupima?Ndio maana wanahamasisha watu wapime ili wapate tiketi ya kutuuzia dawa,si kwamba wanatupenda saaaaana la hasha ni biashara tu.Sasa hivi tunajifanya tuko modern zaidi,kuna magari yanatembea mtaani yanatoa ushauri na huduma za vipimo buuuuureee kabisa,wanatupenda sana hawa jamani eeenh!!
La hasha!hawa wanaotembea na kuhamasisha watu wapime ni mameneja masoko,wanatafuta masoko,viwanda vya madawa tayari vipo na counter zao ni MSD hapa Tanzania.Watu watasema "mbona dawa za ARVs zinatolewa bure",bure?nani kakwambia,serikali inaingia madeni kila kukicha wewe unasema zinatolewa bure!!

Haya yote ni madokezo ndugu zangu ili kuamsha hasira zenu muulize maswali pale ambapo mnadhani kuna utata.Elimu yenyewe bado sijaanza kuitoa kabisa.Ila sayansi kuhusu uongo huu imelalia kwenye mambo yafuatayo hapo chini;
1.Historia feki ya HIV/AIDS
2.Hypothesis feki ya HIV/AIDS(HIV haui T-cells kama wanavyosema)
3.Vipimo feki vya HIV/AIDS(havipimi muonekano wa HIV)
4.Madawa feki ya ARVs ya HIV/AIDS(Haya ndio hasa hufanya kazi aliyobambikiwa HIV,ndiyo yanayosababisha kifo)

Ukijua ukweli kuhusu mambo 4 hapo juu,basi utakuwa umeshapata dawa ya ugonjwa huu feki.Vinginevyo utaendelea kuwa mtumwa wa ugonjwa huu feki mpaka utakapoingia ardhini.Kuogopa kufanya ngono/mapenzi kwa sababu ya kuogopa HIV/AIDS ni sawa na kuogopa kivuli chako mwenyewe,ukigundua ukweli huu utajicheeeka sana.

Siku hizi;Ukweli ndio uongo na uongo ndio ukweli,halali haramu na haramu ndio halali,ajabu kawaida na kawaida ndio ajabu,mzuri mbaya na mbaya ndiye mzuri,tumerubuniwa vya kutosha,ni wakati sasa wa watu kuanza kuzinduka.

Watu wanawadharau sana wale wanaotumia madawa ya kulevya,wanawaita mateja.Hawajui kwamba hata wale wanaotumia ARVs ni mateja pia.Ukiacha ghafla ARVs baada ya kutumia kwa muda mrefu unakufa,kama ilivyo kwa wale wanaotumia madawa ya kulevya.Ukifa baada ya kuacha kutumia ARVs watu watasema kuacha kutumia ARVs ndiko kumesababisha Virusi vikuue,hawajui kwamba dawa ndio zimesababisha,dawa hizi za ARVs ni addictive pia,watu hawajui.Kuna dozi maalumu watu wanaotumia dawa za kulevya hupewa ili waachishwe,vivyo hivyo kwa mtu anayetumia ARVs anakakiwa aache kwa utaratibu.Je,mnajua pia 95% ya watu wenye AIDS hawana HIV?Je,mnajua pia kwamba watu wengi waliobambikiwa kesi ya kuwa na HIV hawana AIDS kwa zaidi ya miaka 10 hata kama hawatumii ARVs?Najua watu watasema hawa ni carriers,hivyo ndivyo tulivyoaminishwa.
 
upo deOTE="Deception, post: 12635161, member: 217259"]Ninawasihi watu kabla ya kukimbilia kupinga kwanza watulize munkari na kuanza kudadisi/kuhoji haya nitakayosema.Inaonekana bado kuna watu wengi hawajui ukweli halisi kuhusu HIV/AIDS.HIV/AIDS ni ugonjwa feki,haupo kiuhalisia(najua lazima utakuwa na hasira na mimi,tulia kwanza);

Mkuu,ulichosema hapo juu unakielewa?Ukimwi unaweza kuwa nao/kuonekana wakati wowote,hata sasa hivi.Kinga yako ya mwili inaweza kushuka wakati wowote ule.Ukiwa na mawazo mengi kupindukia,kama huli vyakula bora,unakunywa sana pombe bila kula vizuri,unatumia sana madawa ya hospitali kama vile ARVs,antibiotics nk,unatumia madawa ya kulevya nk.Ukimwi hautishi kama watu walivyopumbazwa,ni upungufu wa kinga tu,na upungufu wa kinga ulikuwapo tangu karne nyingi zilizopita na hausababishwi na HIV.Hivyo tambua kwamba Ukimwi/AIDS na HIV/AIDS ni mambo mawili tofauti,hayafanani kwa namna yoyote.

Kwenye namba 2 hapo;Hongera,angalau unajua kwamba majanga yanaanzia kwneye vipimo na unajua kwamba vipimo si salama/feki.Nitaeleza kwa nini watumia vipimo vya namna hii na hawatumii elctronic microscope.Ukijua yote ninayotaka ujue hapo ndipo utakapojua kwamba HIV/AIDS ni biashara kubwa sana inayotumia uongo wa kisayansi kuficha ukweli,hata madaktari ambao sio wadadisi nao wameingia kwenye mkumbo huu wa kudanganywa.Wenzetu wana akili kubwa sana.Ukifanana nao kwenye uwezo wa kufikiri,hawatakudanganya kamwe.

Kwenye namba 3 na 4;Ukimwi hausababishwi na zinaa.Ukimwili unatokana na style ya maisha kama nilivyoeleza hapo juu na hausababishwi na HIV.Ukianza kupinga bila kuhoji utakuwa umejifungia milango yako ya fahamu mwenyewe kuujua ukweli.

Kama VVU angekuwa halisi wasingeshindwa kutumia microscope.VVU ni wakufikirika na ametumika kama agent wa kubuni ili wapitishie uongo wao huko na hatimaye wapate tiketi ya kuuza ARVs ambazo hasa ndizo zinazosababisha AIDS kwa wale wanaozitumia.Hivyo kutuimia microscope kutafichua ukweli huu na kibaya zaidi hawatapata hata mtu mmoja ambaye ameathirika na VVU.VVU hajawahi kutengwa peke yake maabara/hajawahi kuwa isolated,na hata ile picha ya HIV iliyo kwenye vitabu ni ya kubuni.

Ukweli upo kabisa.Ukijua sayansi inayotumika kwenye vipimo hivi hilo halina ubishi.Vipimo hivi havitambui HIV kwa kumuona,bali hupima muonekano wa antibodies dhidi ya protini fulani ambazo husadikika zimetoka kwa HIV.Fahamu pia kwamba,protini hizi sio maalum/specific kwa huyo HIV waliomtaja pekee,bali pia huweza kuzalishwa kutokana na hali/mambo mengi yanayojitokeza mwilini,mfano;magonjwa mbalimbali kama vile TB na hayo uliyotaja hapo juu nk.Wanawake wenye mimba pia huweza kuwa na protini hizi.Hivyo mtu yeyote anaweza kupimwa HIV+ muda wowote bila kujali kama yeye ni bikira au la,ukijua sayansi ya vipimo hivi utajua ukweli.Na ndio maana leo mtu anapimwa HIV+ siku nyingine anapimwa HIV- na mkanganyiko huu unaendelea maisha yote.

Kama unachosema hapo kwenye nyekundu ni kweli,Je,yule HIV mwenye umbo la kutisha tunayemwona kwenye vitabu wamemwonaje/wametumia vyombo gani?Na kwa nini na sisi tusitumie vyombo hivyo hivyo walivyotumia kama kweli vipo?

Hiki ndicho kinachofanyika.Na kipimo kinachotegemewa hapa ambacho ndio wametuamisha kwamba ndio accurate kinaitwa PCR,mgunduzi wa hiki kipimo anaitwa Kary Mullis(Nobel prize winner).Fahamu kwamba Kary Mullis hakutengeza kipimo hiki kwa ajili ya kupima VVU.Je,unajua kwamba huyuhuyu Kary Mullis aliyegundua kipimo hiki,hakubali kwamba HIV anasababisha AIDS?Hili ni muhimu pia ukalijua,kwa kuwa ni jambo la msingi linaloweza kukutengenezea wewe mashaka ili na wewe uanze kujiuliza kwa nini huyu mtu muhimu hakubaliani na maelezo kwamba HIV anasababisha AIDS.

Si kweli,kama huamini fanya utafiti/fuatilia utajua tu.Hivi vitu mtakuwa mnavisikia tu,hamtakuja mvione kwa macho yenu.Kila siku mtaambiwa "wanasayansi wanakaribia kupata dawa ya ukimwi" lakini hamtakuja msikie imepatikana.Hii ni biashara ya kisayansi ya kuuza madawa,watu wenye uwezo mdogo wa kujua mambo hawatajua ukweli huu.Lazima uanze kuwa mdadisi ndio utajikwamua na janga hili.Dawa ya HIV/AIDS ni kuruhusu akili zako kuhoji,utajua tu ukweli uko wapi.Mimi naiamini sana akili ya mwanadamu,ina uwezo mkubwa sana kama utairuhusu ifanye kazi sawasawa.

Unachosema ni kweli elimu hii ni pana.Lakini elimu ile tunayoijua sisi/tuliyoambiwa si elimu ya halisi/kweli,elimu ya kweli kuhusu VVU/Ukimwi imefichwa,wanaijua watu wachache sana katika nchi masikini kama Tanzania.Mmojawapo ni mimi.Kuwa tayari kuniuliza na kunisikiliza na wewe utaujua ukweli wake.

Hakuna dawa za kupunguza makali ya virusi,hakuna virusi vyenye uwezo wa kusababisha ukimwi duniani hivyo hatutegemei pia kuwe na dawa yake kwa kuwa havipo.Hutawahi katika maisha yako kusikia dawa ya VVU/Ukimwi imepatikana,vinginevyo utasikia porojo na siasa tu.

Hilo la kujitahidi kusoma,nakubaliana na wewe,lakini si kusoma kuhusu HIV bali kusoma ili kubaini uongo kuhusu HIV.

Hatuhitaji kuwa makini na gonjwa hili bali tunahitaji kuwa makini na uongo tuliolishwa kuhusu gonjwa hili feki.Ukianza kutumia ARVs ndio utakapojikatia tiketi mwenyewe ya kuondoka duniani,ni suala la muda tu.

Haya ndio mambo waliyotaka tuyajue,tuwe na akili za kufikiria kupima tu kila kukicha.Kampeni zote hizi zimeanzishwa na watu wa marekani.Kupima ndio mpango mzima,kwa kuwa bila watu kupima hawawezi kupata wateja wa ARVs.Mtu atatumiaje ARVs bila kupima?Ndio maana wanahamasisha watu wapime ili wapate tiketi ya kutuuzia dawa,si kwamba wanatupenda saaaaana la hasha ni biashara tu.Sasa hivi tunajifanya tuko modern zaidi,kuna magari yanatembea mtaani yanatoa ushauri na huduma za vipimo buuuuureee kabisa,wanatupenda sana hawa jamani eeenh!!
La hasha!hawa wanaotembea na kuhamasisha watu wapime ni mameneja masoko,wanatafuta masoko,viwanda vya madawa tayari vipo na counter zao ni MSD hapa Tanzania.Watu watasema "mbona dawa za ARVs zinatolewa bure",bure?nani kakwambia,serikali inaingia madeni kila kukicha wewe unasema zinatolewa bure!!

Haya yote ni madokezo ndugu zangu ili kuamsha hasira zenu muulize maswali pale ambapo mnadhani kuna utata.Elimu yenyewe bado sijaanza kuitoa kabisa.Ila sayansi kuhusu uongo huu imelalia kwenye mambo yafuatayo hapo chini;
1.Historia feki ya HIV/AIDS
2.Hypothesis feki ya HIV/AIDS(HIV haui T-cells kama wanavyosema)
3.Vipimo feki vya HIV/AIDS(havipimi muonekano wa HIV)
4.Madawa feki ya ARVs ya HIV/AIDS(Haya ndio hasa hufanya kazi aliyobambikiwa HIV,ndiyo yanayosababisha kifo)

Ukijua ukweli kuhusu mambo 4 hapo juu,basi utakuwa umeshapata dawa ya ugonjwa huu feki.Vinginevyo utaendelea kuwa mtumwa wa ugonjwa huu feki mpaka utakapoingia ardhini.Kuogopa kufanya ngono/mapenzi kwa sababu ya kuogopa HIV/AIDS ni sawa na kuogopa kivuli chako mwenyewe,ukigundua ukweli huu utajicheeeka sana.

Siku hizi;Ukweli ndio uongo na uongo ndio ukweli,halali haramu na haramu ndio halali,ajabu kawaida na kawaida ndio ajabu,mzuri mbaya na mbaya ndiye mzuri,tumerubuniwa vya kutosha,ni wakati sasa wa watu kuanza kuzinduka.

Watu wanawadharau sana wale wanaotumia madawa ya kulevya,wanawaita mateja.Hawajui kwamba hata wale wanaotumia ARVs ni mateja pia.Ukiacha ghafla ARVs baada ya kutumia kwa muda mrefu unakufa,kama ilivyo kwa wale wanaotumia madawa ya kulevya.Ukifa baada ya kuacha kutumia ARVs watu watasema kuacha kutumia ARVs ndiko kumesababisha Virusi vikuue,hawajui kwamba dawa ndio zimesababisha,dawa hizi za ARVs ni addictive pia,watu hawajui.Kuna dozi maalumu watu wanaotumia dawa za kulevya hupewa ili waachishwe,vivyo hivyo kwa mtu anayetumia ARVs anakakiwa aache kwa utaratibu.Je,mnajua pia 95% ya watu wenye AIDS hawana HIV?Je,mnajua pia kwamba watu wengi waliobambikiwa kesi ya kuwa na HIV hawana AIDS kwa zaidi ya miaka 10 hata kama hawatumii ARVs?Najua watu watasema hawa ni carriers,hivyo ndivyo tulivyoaminishwa.[/QUOTE]
Daah inahitaji nichimbe zaidi kumbe elimu yote kuhusu hili ginjwa ni feki
 
Mkuu
 
mkuu uzalendo wako kwa watanzania achilia nondo watu tuwe huru juu ya upotoshaji wa jambo hili
 
Deception kaja...Nondo kwa Nondo hatutaki mihemko hapa...

Tupingane kwa hoja...!!
 
Mkuu na hio window period je umeifkiria ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…