Rapper Nacha mnamchukuliaje ndugu zangu

Jamaa anajua sana. Soon ata prove kuwa the best young rapper, tumpe muda
 
naunga mkono oja, mwamba yupo poa sana, ila ana nyimbo yake moja video kavaa kama yesu ameiachia juzijuzi, kiukweli ile nyimbo mbovu sana, mashaili yake hayajakaa vizuri, ila anajua
 
Nacha yuko vizuri lyrically.Lakini anatoa chenye industry haihitaji Kwa sasa, jambo linalofanya mziki wake usikilizwe na aina fulani ya watu hivyo ku limit audience yake.
 
Nacha yuko vizuri..Isipokuwa style yake mpaka watu wenye ubongo mpana kuelewa nini anafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…