Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Anaimba sana tu, ila kafunikwa sana kwa sasa na damu changa.bado anaimba huyu?
huyu mtoto wakitanga inaonesha mechi zake ni hatar mana huyu demu anamuelew sana mshkaji uchoAnaimba sana tu, ila kafunikwa sana kwa sasa na damu changa.
R.I.P Langa...Najiuliza hili swali sipati jibu kamili wanachoongea wabongo. ... kimombo au kiswahili.....
Tuongee basi kichina kizidi pata jina.........
Wabongo tukaongea SwaNglish
Ndugu picha ipo hapo juuHapa ndio pale unajikuta unaomba picha. .
Hahhahahaaaa Kasie tunaongea Google translateNajiuliza hili swali sipati jibu kamili wanachoongea wabongo. ... kimombo au kiswahili.....
Tuongee basi kichina kizidi pata jina.........
Wabongo tunaongea SwaNglish
Kwani ana mtoto??Huyu nae alee sasa
picha mbona haifunguki
Picha wapi?
Kuna ile picha alipiga na chupi la dhambarau alikua na mtoto sina uhakika kama ni wakeKwani ana mtoto??