Rapper yupi kati ya hawa alikuwa mkali wao??

Ulimkubali kwa hiyo track moja tu aliyotungiwa na Noorah au kuna nyingine alitoa?
Hiyo hiyo mkuu, maana kuna wasanii wangapi maaundergrouds wanahiti na nyimbo moja tu unawakubali tu
 
kwa hapo nampa Zay b.....Rah P alikuwa mkali ila baada ya ngoma yake "Hayakuhusu" alishindwa kuendeleza ubora wake.
 
Kweli mimi wa kolomije....simjui hata mmoja hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…