LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Muonekano wake umesababisha wachumba kibao wamzimikie baadhi yao ni huyo hapo chini.2pac alikua na muonekano fulaan hivi, anavutia na kushawishi kwa kweli.
Hayo mengine sitaki kujua, na hayanihusu.
Nas ni bwana mdogo tu kwa 2pac.nas is older than tupac,wtf are you on!
they are contemporaries! find me an article or a clip ambayo kasema amemu-influence?Nas ni bwana mdogo tu kwa 2pac.
Pac kazaliwa mwaka 1971, na Nas kazaliwa mwaka 1973.
Kumu influence mtu kuko kwa aina nyingi. Mfano kuiga kuimba, kuiga beat, kuiga aina ya uvaaji au kutembea, sauti na mengine mengi.they are contemporaries! find me an article or a clip ambayo kasema amemu-influence?
Naona Pac's stan wanazidi kufungua nyuzi. Tupac influenced Nas? Ha ha haaa ...Rappers that have been influenced by Tupac:
Kendrick Lamar
Dax
Eminem
Kanye West
Siddhu Musewala
Drake
Nas
J. Cole
50 Cent
DMX
Nipsey Hussle
Freddie
Gibbs
Polo G
Meek Mill
The Game and more... Your favourite rappers’ favourite rapper.
View attachment 2403594
Mistari ipi Nas alimuiga Pac? Kuvaa T-shirt Nas is just paying homage to Pac kwa sababu kafa. Acheni kukuza mambo.Kumu influence mtu kuko kwa aina nyingi. Mfano kuiga kuimba, kuiga beat, kuiga aina ya uvaaji au kutembea, sauti na mengine mengi.
Sasa Nas alianza kumuiga Pac kwa baadhi ya mistari na beat kabla Pac hajafariki. Pac akamchana live na kumuonya kweny ule wimbo wake wa 'Against all odds' kama ushawahi kuusikia. Mashairi yenyew ambayo Pac kamchana Nas live hayo hapo [emoji116]
[emoji445]This little nigga named Nas thinks he live like me, talk bout he left hospital took five like me. You living fantasies nigga i reject your deposit[emoji445]
Na sasa Nas akiwa kwenye show zake sometimes anatumia style ya Pac katika uvaaji. Picha hiyo hapo Nas akiwa jukwaa matupia kama Pac.
Pac ni kama maji kwa wana hip hop wakubwa wa Marekani. Ina maana kama haukuyanywa utayaoga au upikie.
Pac 4 life [emoji111]