Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Na Mwandishi Wetu
1737794358636.png

Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita

1737794403374.png


Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM Kalangalala na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko.
 
Back
Top Bottom