Namfagilia mwanaharakati Mpoto,mchumu mchumu Mpoto mwaaaa!
Acheni utani Mutabaruka yuko juu sana kimataifa, Mpoto havuki hata Zanzibar umaarufu wake labda kwa kuwa bado anakuwa!
Nilianza kumsoma vizuri Muttabaruka na falsafa zake ktk vhs za reggae sunsplash 1982, alipanda kushusha lines mara baada ya Lucky Dube au Gregory Isaacs kushuka.
Nazikumbuka nyimbo na wasanii waliotia fora ktk tamasha hilo.
Dennis Brown
Shinehead: smile
Cocoa Tea: Likers island.
Barrington Levy: Too experienced.
Lucky Dube: Back to my roots.
Max Priest n'Shabba ranks: House call.
And many more.
''Uniting People through Music''
Msikilize Mutabaruka katika "People's Court" halafu msikilize Mpoto katika "Mjomba".
Utaona washaiiri wametulia.
Cheki hiyo live Def Poetry Jam link ya tatu
People's Court 1
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=UMxObXP3D2M[/ame]
People's Court 2
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EqFYbE1ZtFQ[/ame]
Muta at Def Poetry Jam (Dis Poem)
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Pn-f8PgLVjU&feature=PlayList&p=D80D78F86606307C&index=0&playnext=1[/ame]
N ashukuru nimefuatilia na kufanikisha kufungua hizi video 2 ya kwanza imekataa. LKN nijuze zaidi, hawa wote ni wa TZ? Maana MutaBaruka anakunywa sleng ka mtu wa USA vile.