Hi wanabodi!!!
Nimepenyezewa ujumbe wa karibu kutoka singida kuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo ametoa kusudio la kuwatimua kazi watumishi zaidi ya 20 kwa tuhuma za kufoji vyeti vya kidato cha nne.
Mtoa habari anasema Mama yake ambae ni mtumishi wa zaidi ya miaka 30 katika utumishi wa umma ambaye kabakiza mwaka mmoja kustaafu utumishi wa umma leo amezimia zaidi ya mara tano hivyo kushindwa kabisa kupeleka barua ya maelezo kwa RAS ya kwanini asichukiliwe hatua za kinidhamu.
Mods Habari hii ni ya kweli kabisa kama mtathibisha ni habari ya uongo kuhusu RAS kutoa notice YA kuwachukulia hatua za kinidhamu waliofoji nipigwe BAN KABISA
Kwakweli ni kilio cha ukoo kimetamalaki kijana aliyenipa ujumbe kwasasa upo safarini kutoka UDSM kwenda kumpa Mama yake matumaini ya kuishi tena. kijana amesema ni kweli mama yake alifoji vyeti miaka ya 1998 hivyo kumfanya kupata mafunzo ya certificate na badae Diploma ambayo anaitumikia kwa kufanya kazi katika taasisi nyeti mpaka sasa.
Kijana amesema akifika usiku huu nyumbani kwao atatumia barua ambayo mama yeke amepewa na mwajiri wake na utetezi ambao mama yake ameutoa lakini ameshindwa kuuwasilisha hadi sasa baada ya kuzimia mara kadhaa.
Mods: habari hii ni ya kweli kabisa kama mkichunguza na kukuta kuna uongo nipigwe BAN aidha baadhi ya watumishi waliokumbwa na kadhaa hii wengi wao kwasasa ni wazee wa miaka 50 mpaka 58 wanaomba msaada wa waandishi na wanasheria