Tetesi: RAS Singida atoa notice ya kuwafukuza kazi watumishi zaidi ya 20 kwa kufoji vyeti

Acha uongo umesema amefanya kazi zaidi ya miaka 30 wakati huohuo unasema alifoji miaka 1998. Acha kutudanganya
Inawezekana alianza kazi kwa cheti cha darasa la 7 labda kama dereva au mfanya usafi au mlizi, baadae akataka kujiendeleza ndipo akafoji.
 
Kama amefoji na ushahidi upo dhahiri what do you expect. Kama utetezi hauna mashiko unafikiri ni nini njia mbadala
Unafikiri ukiteguka mguu kwenye mstari wa kurukia kiunzi ndio sababu ya kukupa ushindi?
Mwambieni mchungadomo wenu gwajima alete vyeti vya Makonda sio kuimba taarabu kanisani
 
Mmmh!!
 
Yaani badala ya Makonda kuonyesha vyeti, kumbe ni Gwajima anatakiwa kuleta vyeti? Vya nini?
 
Yaani badala ya Makonda kuonyesha vyeti, kumbe ni Gwajima anatakiwa kuleta vyeti? Vya nini?
Unapodai unaushahidi wa vyake kwa nini usivitoe hadharani kuondoa ubishi kama ambavyo umepata kiburi cha kutuhumu?
 
Suala la kufoji vyeti si la kumchukulia hatua za kinidhamu hata kanuni hazijaweka adhabu kwa sababu ni kosa la jinai hivyo kama ni kweli litapelekwa mahakamani na ikithibitika sheria ndiyo inabainisha adhabu.
 
Alifoji vyeti mwaka 1998.
Kisha kaitumikia serikali kwa miaka zaidi ya 30. Hesabu imenipoteza hapo. Ila kuhusu usahihi wa taarifa mimi siyo Tomaso
 
wapige kimya like bashite
 
Unapodai unaushahidi wa vyake kwa nini usivitoe hadharani kuondoa ubishi kama ambavyo umepata kiburi cha kutuhumu?
Yeye katuhumu, na hapo kamaliza. Kama kuna ambaye anafikiri imemgusa sana anatakiwa akamshitaki Gwajima kwa kumdhalilisha Makonda. Hapo ndipo Gwajima atalalamika kupeleka vyeti kama ushahidi wa tuhuma alizotoa. Otherwise, halazimiki kuonyesha hivyo vyeti (kama kweli anavyo) unless ametakiwa kufanya hivyo kisheria.
 
Haiwezekani wengine tupige umande, afu tutukanwe tumetumwa na kijiji afu waliokuwa wanatutukana wafoji vyeti waendelee kututukana, haiwezekani! Afu usiombe ukutane na bosi kafoji vyeti afu akutane na cv yako imenyoka, utamkomaje!!!!!!
HUWA WAKATILI BALAA NA KAZI HAWANA UWEZO NAZO HUO NI UKWELI.YALISHA WAHI KUNIKUTA KUWA NA BOSI KIMBELEMBELE KUMBE MI VYETI SI YAKE ANATAKA KUINGILIA HADI SHUGHULI ZA KITAALAMU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…