Tetesi: RAS Singida atoa notice ya kuwafukuza kazi watumishi zaidi ya 20 kwa kufoji vyeti

Mama kafanya kazi zaidi ya miaka 30 alifoji vyeti mwaka 1998 mbona haviendani ndugu mwandishi? Aliajiriwa bila vyeti??
 
Reactions: e2n
mbona anamwumiza mwenzake wa ule mkoa mzito kisaikolojia ?
 
Acha uongo umesema amefanya kazi zaidi ya miaka 30 wakati huohuo unasema alifoji miaka 1998. Acha kutudanganya

Punguza povu.
Kwani haiwezekani kuwa alifanya hiyo forgery akiwa mtumishi ?
 
Ni kweli kuna sekeseke la vyeti mkoani hapa kwa baadhi ya watumishi kutakiwa kuwaslisha vyeti halisi kwa uchunguzi zaidi.Nimeona wa idara ya afya.
 
Vyeti feki kama vipo huenda vilifojiwa miaka ya nyuma sana.Wangine wamekaribia kustaafu.Nani wa kulaumiwa? Kufukua makaburi ni kubaya sana.Hili zoezi likipita kila idara na na sekta litafunua mengi kuliko vita vya madawa ya kulevya.
 
Maelezo hayo yapo katika post au umeongezea? Na kama ni hivyo unauhakika gani kama hayo uliyoongeza yako sahihi kwa mujibu wa mtoa post? Unadhani kama ilikuwa hivyo ilishindikana nini kuweka mambo vizuri kabla ya kupost....
Anyway.... Nadhani ulianzisha ubishi ili tu utumie msamiati mpya. Lakini kufikia hapo watu watakuwa wameshang'amua kati yetu mimi na wewe nani atakuwa B*shit..
 
 
Acha uongo umesema amefanya kazi zaidi ya miaka 30 wakati huohuo unasema alifoji miaka 1998. Acha kutudanganya
Kuna wakati watumishi wote wa waliokuwa wameajiliwa kwenye hizi Regional Secretariets chini ya RAS kama wahudumu waliamuliwa kwenda kusoma ili wawe makatibu muhtasi (PS) au watunza kumbukumbu wa masijala, kwa hiyo utakuta kipindi hicho watu wengi walikuwa hawana sifa ya kwenda masomoni kwa sababu wengi wao walikuwa hawana vyeti vya form four, hapo ndo biashara ya kufoji vyeti ilianza na sikosei huyo mama alikuwa kwenye huo mkumbo.[/QUOTE]
 
Reactions: e2n
Toka 1998 hadi leo miaka 30 iko wapi?
 
Ili iwepo fairness nchini, ni lazima Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam authibitishie Umma kuwa elimu yake iko clean, otherwise haijakaa sawa hii!!
 
Haiwezekani wengine tupige umande, afu tutukanwe tumetumwa na kijiji afu waliokuwa wanatutukana wafoji vyeti waendelee kututukana, haiwezekani! Afu usiombe ukutane na bosi kafoji vyeti afu akutane na cv yako imenyoka, utamkomaje!!!!!!
Na vimeo wengi ndo wanakuwa wanoko maana hawakusota, wanakuwa wamejaa wivu, husuda na ubinafsi, pia wanajifanya wanamapenzi na Mungu, yaani kila kitu wanajitia wanafanya kwa mapenzi ya Mungu. Weziiiiiiii
Why not Bashite?
 
Umesema mtumishi ni mtumishi wa umma kwa miaka 30 na amefoji cheti mwaka 1998 inamaana huko nyuma alifanya kazi bila hata cheti cha kufoji. Huyu ni expert akizinduka tena mwambie anakesi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…