beevenom
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 313
- 432
Samahani naomba kuuliza jambo kuhisiana na tatizo la ngozi,katika siku tano zilizopita nilipata rashes katika tano la kushoto na zinawasha haswa sana sana kipindi cha joto . zikianza kuwasha hadi nakosa amani,na hazitoi maji au chochote.
Hapa nyumbani nilikuwa na dawa aina ya skinderm nimepaka asubuhi na mchana nimeshinda safi sasa jioni muwasho ukajitokeza tena na nikijikuna uvimbe unasambaa. Naombeni kujua hii nini na nini suluhisho lake
Sent using Jamii Forums mobile app