Rashes katika ngozi

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
432
Samahani naomba kuuliza jambo kuhisiana na tatizo la ngozi,katika siku tano zilizopita nilipata rashes katika tano la kushoto na zinawasha haswa sana sana kipindi cha joto . zikianza kuwasha hadi nakosa amani,na hazitoi maji au chochote.

Hapa nyumbani nilikuwa na dawa aina ya skinderm nimepaka asubuhi na mchana nimeshinda safi sasa jioni muwasho ukajitokeza tena na nikijikuna uvimbe unasambaa. Naombeni kujua hii nini na nini suluhisho lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Probably hypersensitivity rxn, nenda kapige FBP kucheck eosinophil level.. km zitakuwa Norma basi possible ikawa dermatitis, na kama huwa vinakuwa na rangi nyekundu nyekundu basi r/o hypersensitivity vasculitis.. nenda hospital wakucheck FPB kwanza boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…