Uchaguzi 2020 Rashid Hamza Jumbe Mgombea Ubunge Tanga Mjini kupitia ACT-Wazalendo

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
218
Reaction score
194
Rashid Hamza Jumbe (Mgombea Ubunge Tanga mjini kupitia ACT wazalendo). Ni miongoni mwa wanasiasa jasiri na shupavu kwa Hoja licha ya wapinzani wake wakimjadili binafsi kuliko utendaji wake wa kazi.

Tangu awe diwani na kuponea chupuchupu awe Meya wa Tanga mjini kupitia CUF enzi hizo kwa kabla ya kuvugwa CUF kupitia Lipumba na ila za CCM
 
Weka picha yake, mbona huku kwa Ummy Mwakidila hajulikani, weka picha
 
Rashid Hamza Jumbe (Mgombea Ubunge Tanga mjini kupitia ACT wazalendo). Ni miongoni mwa wanasiasa jasiri na shupavu kwa Hoja licha ya wapinzani wake wakimjadili binafsi kuliko utendaji wake wa kazi.

Tangu awe diwani na kuponea chupuchupu awe Meya wa Tanga mjini kupitia CUF enzi hizo kwa kabla ya kuvugwa CUF kupitia Lipumba na ila za CCM
Hata udiwani Safari hii apati kitu
 
Back
Top Bottom