Rashid Hamza Jumbe (Mgombea Ubunge Tanga mjini kupitia ACT wazalendo). Ni miongoni mwa wanasiasa jasiri na shupavu kwa Hoja licha ya wapinzani wake wakimjadili binafsi kuliko utendaji wake wa kazi.
Tangu awe diwani na kuponea chupuchupu awe Meya wa Tanga mjini kupitia CUF enzi hizo kwa kabla ya kuvugwa CUF kupitia Lipumba na ila za CCM