Rashid Matumla alikataa Uraia wa Marekani kwa sababu Marekani ni Mabeberu!

Amna kutoka kimaisha sio lazima uwe bosi bali kuna watu aliwafundisha ngumi so wamepata ajira jeshini na askari polisi kupitia sanaa ya ngumi mkuu.so kwa kiasi fulani wamejikomboa mkuu.
 
Kina nani hao waliotoka kimaisha kupitia ngumi walizofundishwa na matumla.
Au wapo kibiti mkuu?
Amna kutoka kimaisha sio lazima uwe bosi bali kuna watu aliwafundisha ngumi so wamepata ajira jeshini na askari polisi kupitia sanaa ya ngumi mkuu.so kwa kiasifulani wamejikomboa mkuu.
 
Marekani hakufai hata kidogo,,,kila day Black's wanauawa. Afukuzie KUWAIT ALIPOKUWA SAADAM HUSEIN.

Marekani ipi? utajua tu mtu ambaye hajawahi kwenda huko, mnayoona kwenye tv ukiangalia na size na media na ujinga wa watangazaji utawazi tofauti, hakuna mauaji marekani ya mablack kama unavyowaza wewe!
 
Marekani ya trump. Mkuu why unajitoa ufahamu!!! Mauaji yanayotokea kuuawa kwa waafrika wenze2 dhidi ya police unajifanya hujui!!!!! Tena heri yake hajaenda,,,,marekani 2meifanya kama ndiyo pepo yetu bwana..
 
Amna kutoka kimaisha sio lazima uwe bosi bali kuna watu aliwafundisha ngumi so wamepata ajira jeshini na askari polisi kupitia sanaa ya ngumi mkuu.so kwa kiasifulani wamejikomboa mkuu.
Asante mkuu, nilikuwa nimefungwa na uelewa fulani hivi, sasa natambua ulichomaanisha.
 
Daah! Nadhani pia imani yake ya dini ilichangia kukataa uraia wa Marekani.
 
Hahahahaha nimecheka sana aisee eti alikataa uraia wa Marekani kisa ubeberu huyo hana tofauti na wale wanaoimba kila siku kuwa Marekani ni Kafiri Mkuu hapa Duniani huku moyoni na hadharani mubashara wanang'ang'ania kwenda huko.

Ndio umeandika nini?
 
Matumla anawaona mjue!!! na kuwasikia vilevile!!! Kesho na yeye ataingia kuchaingia. Usiku mwema
 
Alivyokuwa mjinga angeambiwa achukue wa Uarabuni angekubali.
 
Hivi ushafuatilia matukio na kauli ya Matumla ya hivi karibuni au umeamua tuu kuleta maneno yenu ya kwenye makaratasi bila kujua uhalisia halisi wa maisha anayoishi?
Wewe maisha ya Matumla yanakuhusu nini?
 
Hata muandishi wa hili chapisho ana fikra za kiDonald Cameron ktk uhuru wa fikra na wa maamuzi ni mwanadam kufanya kile ambacho anakiamini bila kuangalia itamgharimu kiasi gani ktk maisha yake leo hii ben saanane hafahamiki aliko ila watu dizein yako watasema kaponzwa na kauli zake bora angekaa kmya.
Na hata serikali ilikataa maono ya D. Cameroon ya wabongo kuoana Gays & Resbian utaona ilikosea eti tu kwa kuwa tutakosa misaada waliyokagomea kutoa tusipowakubalia kuoana.
Cha msingi ni kusimamia unachokiamini na cc wengine tunaamini km ipo ipo tu na sio kila aishie ughaibuni anatusua wapo wanakula goodlife Tz zaidi ya waliokuwepo majuu na ikumbukwe kila jambo lina time yake huwezi kupima maendeleo ya Pele na C. Ronaldo ktk soka ijapokuwa ulimwengu utakili kuwa Pele ndo baba wa soka ulimwenguni au Mayweather na Mohammed Ali hakuna cha kumshabihisha hata kwa nusu Ali anaheshimika kwa shughuli ya Dunia maendeleo na mafanikio yanatokana na wakati
Tusibeze mitazamo fikra za mtu bila kuangalia ni nn kinamfanya aamini hilo NIDHAMU YA FIKARA.
 
Hakuna kitu kama hicho.

Marekani haimfuati mtu kumwambia eti tunakupa uraia.

Ni uongo, hakuna kitu kama hicho.
 
Marekani ya trump. Mkuu why unajitoa ufahamu!!! Mauaji yanayotokea kuuawa kwa waafrika wenze2 dhidi ya police unajifanya hujui!!!!! Tena heri yake hajaenda,,,,marekani 2meifanya kama ndiyo pepo yetu bwana..

nimeenda mareka over 10 times, kwa Obama and kwa Trump pia akiwa rais, mimi ni black na tena mtanzania ambapo nikiongea tu mtu anajua huyu ni wakuja, sijawahi kupata shida yeyote wala kuona shida yeyote! Tanzania panaweza kuwa na matatizo ya kiusalama zaidi ya huko ambayo hayatangazwi
 
hilo jina lako tu limenipa shida sana dada yangu. kwa nini umeamua kujiita hivyo? umeondoa tu u ukaweka a ili admin wasikukatalie hilo jina. hii biashara si ni haramu unayofanya?

ungenyamaza kimya watu wenye akili wasingejua kuwa hujui. ona sasa nawe umechangia na kuudhihirisha kuwa hujui kitu unapomorokwa na maneno kama maji bondeni.

Hakuna kitu kama hicho.

Marekani haimfuati mtu kumwambia eti tunakupa uraia.

Ni uongo, hakuna kitu kama hicho.
 
hilo jina lako tu limenipa shida sana dada yangu. kwa nini umeamua kujiita hivyo? umeondoa tu u ukaweka a ili admin wasikukatalie hilo jina. hii biashara si ni haramu unayofanya?
Duh hivi ndugu huo utaratibu wa matusi unaonaje ungewapelekea wazazi wako walokufunza hyo tabia ya kutukana usko wajua usitegemee kila andishi lako watu watacomment unavyotaka ww km wazee wako wamekushindwa basi omba walimwengu wenye fikra safi wanyooshe brain yako unaonekana wapori na JF hainaga tabia ya kubaki na mazwazwa dizain tchaooooi cjibizani na wapumbavu.
 
Kwa binadamu mwenye akili timami hawezi kataa kwenda kutengeneza pesa kwenye nchi ya maziwa na asali,ila hizi dini hizi, ningekuwa na uwezo ningevifanyia hardreset vichwa vya watu kuhusu masuala ya Ki iman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…