Alnadaby
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 505
- 41
Kuna movie fulani ambayo Rashid Kawawa ali act kama Mhogo Mchungu enzi hizo.Ningependa sana kumuona akiwa katika action wakati huo.Nasikia alikuwa hodari sana na alifurahisha watu wengi.
Katika kumbukumbu ya watu mashuhuri kwenye movie industry,Kawawa ni mmojawapo na naomba wenye mkanda huo wafanye mipango ya kuutayarisha upya ili kumbukumbu za huyu Simba wa Vita zisiishie kwenye siasa tu.Alikuwa Msanii mzuri na hiyo ni moja ya sifa zake ambazo naomba ziwekwe kwenye rekodi.