Rashida Wanjara amegoma kuzeeka

Rashida Wanjara amegoma kuzeeka

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida Wanjara.

She is still looking young and energetic, kumbe wakuu kujitunza muhimu

Maana Dada zetu wengine wamezaliwa 2000s Ila wameshaisha.

Siri anasema ni kuweka balance katika mambo yote.

Screenshot_20240804-095916_1722754802546.jpg
 
Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida wanjara.

She is still looking young and energetic kumbe wakuu kujitunza muhimu

Maana Dada zetu wengine wamezaliwa 2000s Ila wameshaisha .

Siri anasema ni kuweka balance katika mambo yote
Nakumbuka middle 2000s akina Dully Sykes wzlikuwa wanamuimba kwa kigezo cha demu mkali, about 20 years ago
 
Ni kweli tangu nikiwa mdogo huwa namuona hivyo hivyo habadiliki.

Mwingine ni Muhogo mchungu sema yeye tangu namjua ni mzee hivyo hivyo sijui kama muhogo mchungu aliwahi kuwa kijana.
 
Wakuu katika harakati zangu za kutafuta chakula cha macho mara nakutana na Rashida wanjara.

She is still looking young and energetic kumbe wakuu kujitunza muhimu

Maana Dada zetu wengine wamezaliwa 2000s Ila wameshaisha .

Siri anasema ni kuweka balance katika mambo yote
Masikhara hayo nilidhani ni Mama yake dayamondi
 
Back
Top Bottom