Uchaguzi 2020 Rashidi Gwajima akiwa katika sherehe za Maulidi

Kama nilivyomuona Mh. Lissu Butiama kwa hayati Baba wa Taifa....unafiki mbaya sana!
Kachukue ujira wako we fala!! Ukiwa ccm akili zenu huwa mnakabizi kwa mwenyekiti wenu!! fala wewe!!
 
kukatwa kupo kote duniani sio Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kabisa it’s normal ila kuna sababu za kimaadili ya mgombea, misimamo yake kama inakinzana na mlengo wa chama; etc.
Enheee, sawa, kukatwa kupo duniani kote.

tutajie mtu mmoja duniani huko ambae alikatwa baada ya kushinda kura ndani ya chama.
 
Hana tena mpango wa kubadilisha msikiti kuwa sunday school? 😀
 
Hahaha kwa ujinga huu kweli wapo wajinga watampigia kura.

Unaona kilicho wazi ni kutumika kwa waislam.

Nataka nimuone na kanisa katoliki akiomba kura sasa, mkipata clip akiwa kanisa katoliki anaomba kura, nitaamini serikali imejiingiza hadi kwenye dini zetu.
 
Gwajima anajisumbua bure lazima atashinda jimbo la kawe kila mtu kamchoka Mdee sema tu watu Kawe hawaipendi CCM ni wakati sasa wa kujaribu mtu mwingine miaka 10 Mdee inamtosha hana jipya.
 
Mke wake amefanana sana na Dr. Shika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…