Rasilimali kiuno

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Unaomba kazi ukiwa na vyeti vyote...umefaulu
vizuri...Una-Qualify kabisa kupata hiyo kazi....Baada ya
Interview Bosi mmoja anakufuata anakwambia Kazi
Uliyoomba unaweza kuipata ila umechemka maswali
ya Usaili...Ukitaka nikusaidie uipate tukutane
NAMNANI HOTEL ROOM 304 kesho jioni..Ulivyo Bolizozo na Kichwa Panzi Ukaenda ukachanua
ukamegwa...Ukasaini mkataba...
Unakuja JF unatuandikia,'YESU ASANTE WEWE
UNAISHI,MUNGU WA IBRAHIM ISAKA NA
YAKOBO,ASANTE MAANA WEWE NI BWANA,UMENIPA
KAZI..WEWE NI EBENEZA Unamdanganya nani??Yesu ndo alikushauri ukamegwe na bosi upewe kazi???We
andika tu ukweli...KAZI DAR NGUMU SANA ILA MWILI
UNASAIDIA Usitufanye sisi watoto wadogo eboo!
Degree haijakupa kazi hapo huna tofauti na changu
wa Corner Bar.Shkamooni Rasilimali-Kiuno
wote...Leave Jesus Alone.
 
Dah haya mambo yapo ivi wangapi humu mnaosoma hii comment yangu mmepata kazi ki design hii
 
Ukifanya interview umeambiwa uifanye vizuri ili upate kazi ukaamua wewe kukaidi uta..mbw tu maana hakuna namna nyingine maana wote lazima tukubaliane nchi hii tunaiendesha kwa misingi ya kisheria sasa kama wewe umekaidi hutaki unaona kwamba ni imara zaidi, wewe ndio jeuri zaidi watakuto..mb tu na mimi nasema muwato...mb tu, kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa
 
haahahhah... Namimi nasema watoooo
 
Huo wivu tu man, mpaka upate fursa ya kuutumia mwili kama leverage sio mchezo. Wangapi wanarukiwa bure mtaani? Ambako bishosti katisha tukubali tu.
 
wewe jamaa wewe
Mamii ile kazi uliyoomba utaipata ukija MASHETANI WAZURI GUEST HOUSE,room 19,fika bila kukosa ili nikufanyie usaili.kumbuka uje umevaa mini skirt na scanty top without bra.
 
Na wewe UMBWETO TUUUUUUU,maana hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…