SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

SoC04 Rasilimali nje ya hifadhi za taifa

Tanzania Tuitakayo competition threads

Seastar nacent

New Member
Joined
Jun 16, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Taifa letu linahifadhi kubwa na vivutio vingi sana vya utarii,, lakini hii imekuwa ikizingatiwa kwa maeneno yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kuingiza kipato cha taifa,, na kufanyiwa usimamizi stahiki,, lakini licha ya hayo je, serikali inamtazamo gani juu ya mtazamo WA rasilimali nje na maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya kipato cha taifa? ,,, kama haki za wanyama pori ni Sawa ikiwemo haki ya kulindwa usalama WA maisha Yao,, basi kufikia 2025, serikali itoe kipaumbele cha haki Sawa kwa wanyama WA hifadhi na wasio WA hifadhi, ili Hali ni wanyama pori maisha Yao ni muhimu kwa sababu richa ya kuwa sio sehemu ya kivutio Ila ni Mali ya nchi yetu
 
Upvote 3
Back
Top Bottom