Rasimi Zidane azungumzia sababu za kumpiga kichwa Materazi

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira zikanipanda pale aliposema ninafaa kuichezea *YANGA*
 
!
!
hahahahahah hatariii hahahaha
 
Na angempiga hadi amtoboe macho yani yanga wale wa kimataifa ni aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…