Rasimu hii ya Pili ni ya Serikali Moja sio Tatu. Tume imecheza na maneno tu

Rasimu hii ya Pili ni ya Serikali Moja sio Tatu. Tume imecheza na maneno tu

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
743
Reaction score
1,839
Nimepitia rasimu ya pili kwa jicho la haraka naona kama kwa nje ni serikali 3 lakini ukisoma content na context ni serikali moja. Nchi washirika hawana madaraka yoyote ya kiserikali (dola). Tume imecheza na maneno na saikolojia za watu tu. Mtazamo wangu tu jamani
 
Hata hiyo itakuwa sawa sawa tu kuliko ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom