Rasimu (ii) ya katiba- mgombea binafsi

bulunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
303
Reaction score
49
sijafanikiwa kuipata, Kwa wale walio pata na kuisoma Rasimu ya 2 inasemaje swala la mgombea binafsi naomba msaada wenu
 
Mbona jamani tunakuwa wavivu wa kusoma , sasa kuna wengine tuko vijijini huku tunasikia rasimu , rasimu wala hata hatujaiona, so kama unayo soma usiwe mvivu kisha tuwekee hapa.
 
sijafanikiwa kuipata, Kwa wale walio pata na kuisoma Rasimu ya 2 inasemaje swala la mgombea binafsi naomba msaada wenu

Nanda kwenye google uandike neno tume ya katiba, then utaupata kuu rasa wa tume na hapo hapo utaiona rasimu ya pili, then bofya
 
Knowledge is for sharing,kama unajua unasema wala hakuna haja ya malumbano,ukisema utafaidisha wengi na utaokoa muda kwa wengine ambao kwa sababu moja au nyingine wameshindwa kuipata,wala hautapungukiwa kitu
 
Fungua www.katiba.go.tz fungua link ya rasmu ya pili u download nits 1MB kwahy sio shida ni faster unaipata...mgombea binafsi yuko amerusiwa
 
acha uvivu. rais kikwete amesema ipo kwenye tovuti. unaona rahisi kugoogle jf ila kujitafutia rasimu ya katiba hutaki. we vipi bana!
 
imeandikwa kwa lugha gani? kama ni kienglish kwa nini while lugha yetu ni kiswahili?
 
acha uvivu. rais kikwete amesema ipo kwenye tovuti. unaona rahisi kugoogle jf ila kujitafutia rasimu ya katiba hutaki. we vipi bana!

Ndo maana ya forum hiyo!,una uliza swali unapata jibu lakini huko kwetu waswahili ni sehemu ya malumbano kuzodoana, it was area of interest najua rasimu nitaipata ni swala la muda tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…