aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 189
Kwani darasa la saba ni shule gani? Mwenye ufahamu anijuze.Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Kasome wewe kuna short course za two in one ndani ya miaka mi2 au 1.5 unacheti chako cha form Iv,nakubaliana na warioba darasa la 7 hatuwataki kuwa wabunge ndio hao wanaosign vitu wasivyovijua maana kingereza kitupu,wakienda nje ya nchi kwenye kamati hawachangii kitu mbele ya wazungu maana ngeli hamna kitu lakin form iv cha kuombea maji anakielewa!
Kwa usawa huo huo unaodai, kama wewe ni darasa la saba unaweza kudai urubani wa ndege.Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge
Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma
Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

ubunge sio kazi ya taaluma ni ubaguzi ambao unafanana na ule unaompinga mtu asigombee kwa sababu hana chama kila mtu ana haki ya kugombea na kuchagua kiongozi hata mimi nitaipinga hao tunaowaita wasomi ndio wamesaini mikataba mibovu kuliko yote iliyowahi kutokea
Hajakosea kuna watu wana darasa la 7 au chini ya hapo lakini katika fani za kisiasa wana hoja nzuri sana za kuweza kuchangia na kutetea hoja zao., tunao hawo watu katika jamii zetu za Tz ambao by nature wana personality hiyo wapewe nafasi wakatuwakilishe jamani si kama baadhi ya wabunge mule bungeni kazi ni ndiooo tuu.,