Ndugu wanajamvi nimeipitia Rasimu hii karibu kurasa zote sioni kifungu wala ibara ya inayomruhusu mshirika wa JMT kujitoa kwenye muungano iwapo ataamua kujitoa kwa sababu zao?
Ndugu wanajamvi nimeipitia Rasimu hii karibu kurasa zote sioni kifungu wala ibara ya inayomruhusu mshirika wa JMT kujitoa kwenye muungano iwapo ataamua kujitoa kwa sababu zao?
Kwenye rasimu hii bado mambo yatazuka mengi baada na mizozo itaendelea, mimi nadhani hatuna utaalamu wa haya mambo ya seikali3,Mkataba, au 2, hata moja.
Tunahitaji tutafute msaada kutoka nje ili tuepushe majanga zaid hapo baadae
Kaka wameondoa kipengele hicho kwa makusudi kozi serikali 3 uraia ni mmoja tu sasa huwezi kuikana Tanzania na kuichagua Zanzibar au Tanganyika sooo shilikisho lidumu