Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Wana jf salam !
Tunapoelekea kwenye Uundwaji wa Katiba Mpya
ambayo kwasasa inatuelekeza kwenye Muundo
wa Serikali tatu yaani :-
1. Serikali ya Tanzania Bara
2. Serikali ya Mapindunzi Zanzibar.
3. Serikali ya Muungano(Shirikisho)
Vp kuhusu Chama Cha Mapinduzi nacho itabidi
chenyewe kitafute njia ya kujifia na kurudi kwa
Chama Cha TANU huku Tanganyika na
Kule Visiwani kadhalika kitajifia na ASP kufufuka
tena maana kwa Rasimu hii,ni mwiba mkali kwa CCM. Taratibu za kukutana KIZOTA DODOMA
nazo zitakuwaje?
Naona Rasimu hii na hatimaye Uundwaji wa
Katiba mpya kuna uwezekano Mkubwa baadhi
ya vitu kama Viwanja vya Mpira kila Mkoa,
Shule za Sekondari kila Mkoa na Wilaya
zikawa mali ya Umma toka mikononi mwa
wajanja wachache.
Karibuni kwa michango Wakuu !