Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Jun 14, 2024 #1 Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024. Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? Kanuni hizi zitatumika katika Mitaa yote iliyomo katika maeneo ya Mamlaka za Miji. Pia soma: Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024 Attachments RASIMU YA KANUNI ZA SERIKALI ZA MITAA.pdf RASIMU YA KANUNI ZA SERIKALI ZA MITAA.pdf 1.1 MB · Views: 16
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024. Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? Kanuni hizi zitatumika katika Mitaa yote iliyomo katika maeneo ya Mamlaka za Miji. Pia soma: Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024