Ibara ya 39 (3) 'Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanya mahojiano yoyote kinyume na ridhaa yake'.
Je Ibara hii haikinzani na sheria za kimataifa za makosa ya jinai? Siamini kama kuna mtuhumiwa atakuwa tayari kupelekwa nje ya nchi kwa ridhaa yake, hususani akifahamu ya kwamba kuna mapungufu makubwa katika mfumo wa Mahakama wa Tanzania, ambao utaweza kumweka huru.

jangala kajiwekea ka-immunity kidogo hapoIbara ya 39 (3) 'Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanya mahojiano yoyote kinyume na ridhaa yake'.
Je Ibara hii haikinzani na sheria za kimataifa za makosa ya jinai? Siamini kama kuna mtuhumiwa atakuwa tayari kupelekwa nje ya nchi kwa ridhaa yake, hususani akifahamu ya kwamba kuna mapungufu makubwa katika mfumo wa Mahakama wa Tanzania, ambao utaweza kumweka huru.
kwa mtizamo wangu jibu ni ndiyo kwa kosa la jinai tu nafikiri warioba yupo sawa ila labda liwe kosa la ugaidi hapo mtuhumiwa tena bila ridhaa yake lazima apelekwe kwa wanaojua haki,
hv wanasheria kesi ya ugaidi=kesi ya jinai?
Mfano kesi ya mh.Lwakatale wa CDM.
Wewe mbumbumbu wa sheria unarukia train kwa mbele. Ugaidi falls under penal codes. Hii ibara inapaswa iondolewe kuzingatia sheria za kimataifa ambazo nchi imeziridhia. Tazama USA haijaridhia ICC ndio maana raia wake hawawezi kushtakiwa huko. Sisi tumeridhia ICC, ibara hii haina maana yoyote. Lakini ni muhimu ibara hii iondolewe ili viongozi wanaouwa kwa kulinda maslahi binafsi kama ilivyofanyika Mtwara, Pemba na Mwembechai wawajibike kwa matendo yao ya kihalifu