Rasimu ya Katiba: Ibainishe kuwa TANZANIA ni Nchi ya KIJAMAA

Rasimu ya Katiba: Ibainishe kuwa TANZANIA ni Nchi ya KIJAMAA

the horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
652
Reaction score
442
Binafsi nimesikitika kuwa Rasimu imeitoa sentensi ‘Tanzania ni nchi ya kijamaa’, hii sentensi iko kwenye Katiba yetu ya sasa lakini haiko kwenye Rasimu. Ingawa baadhi wanasema ile maana haijaondoka maana bado tumeweka tunu zetu na tumeongelea ‘UTU’ kwenye Katiba. Utu ina maana kubwa sana na ujamaa ni (kwa ujumla) juu ya utu.

If we pay attention to details we will see cries of Tanzanians today revolve around the Ujamaa Ideology.


People should note that our Ujamaa was somehow unique. It was not a mere sociopolitical counter-imperialism system created for sheer opposition to the west; it was a human-centric phenomena meant to lift the entire humanity in Tanzania and beyond borders.


If at all we will be able to reflect on the ideology of Ujamaa and contextualize it for 21st Century the prospects are great!



tusiupinge ujamaa kwa kuwa tu ni itikadi ya Chama Cha Siasa..,ujamaa una tafsiri pana juu ya namna ambavyo tunaendesha maisha yetu. Turudisheni Ujamaa kama itikadi ya kuongoza nchi yetu, tuimarishe utu na usawa baina yetu. Tuliandike upya Azimio la Arusha, turithi kila jema lililomo na tuliendeleze.

Sote kwa pamoja tunadi kuwa Sisi ni WAJAMAA.,na tunataka nchi yetu iwe ya KIJAMAA..
 
Kaka dhana ya ujamaa imeshindwa duniani nzima.Tunataka kuwa wajasiriamali.Nionyeshae wapi wamefanya ujamaa umefanikiwa?
 
Back
Top Bottom