kilio kikubwa kwa vijana ni ajira,fursa katika ngazi za kiuongozi na uhuru wa kusikilizwa na kutoa maoni,lakini rasimu haijazingatia haya tofauti na makundi mengine yamepewa majawabu ya kero zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.