Kwanza, binafsi sikubaliani na jina la Tanzania bara,jina napendekeza jina la Tanganyika kwa sababu Jina la Tanzania linatokana ja muunano wa Tanganyika na Zanzibar. Hinyo kama mnapendekeza kuirudisha serikali ya Tanganyika iandikwe Tanganyika.
pili bado sijaelewa namna ya katiba ya hiyo Tanganyika itakuwaje. Kwamba ishu muhimu ilikuwa ni katiba ya Tanganyika, kwakuwa Zanzibar tayari wanayo katiba Yao na serikali ya muungano itakuwa haina mambo mengi na eneo maalumu la kusimami haitakuwa na rasilimali za kusimania. Serikali ya Tanganyika ndo itakuwa na changamoto kubwa ya uongozi,na ndiyo yenye watu wengi na maskini. Hivyo tunataka tujuwe mchakato wa katiba yake ni lini, na uchaguzi wake ni lini.