ANC-KWA ZULU NATAL
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 325
- 37
SOURCE; MWANANCHI
Ibara ya 122 ya rasimu hiyo inazungumzia vitu vinavyoweza kuwafanya wananchi kmngoa mbunge.
Inasema wananchi watakuwa na haki ya kumwondoa mbunge wao madarakani kama atafanya mambo mbalimbali ikiwamo kushindwa kuwasilisha au kutetea kwa dhati hoja zinazotokana na kero ya wapigakura.
Rasimu hiyo pia inasema mbunge ataondolewa ikiwa anaunga sera zinapingana na masilahi ya wapigakura au masilahi ya taifa.
Pia mbunge akiacha kuishi au kuhamisha makazi yake kutoka katika eneo la jimbo la uchaguzi kwa zaidi ya miezi sita bila ya sababu za msingi, wananchi wanaweza kumwondoa katika nafasi hiyo.
Sababu nyingine, ni mbunge kutohudhuria vikao vitatu vya Bunge mfululizo bila ruhusa ya spika. Mbunge akiajiriwa au kufanya kazi nyingine na kuacha kuzingatia kazi yake ya kuonana na wapiga kura wake, anaweza kuondolewa na wananchi.
Ibara hii itasaidia kuwafanya wabunge wakae majimboni na kufanya kazi