Rasimu ya katiba mpya imeambatanishwa

Rasimu ya katiba mpya imeambatanishwa

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
Wana jf kazi kwetu.​
 
Hii nayo kali kabisa! hii ni malalamiko kuhusu uhalali wa uchaguzi wa urais::
(4) Kwa madhumuni ya Ibara ndogo ya (3), Mahakama ya Juuinaweza kutoa uamuzi bila kutoa sababu za uamuzi na sababu hizozikatolewa ndani ya kipindi kisichozidi siku thelathini tangu siku ya
kutoa uamuzi.
 
Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
Wana jf kazi kwetu.​

Pamoja mkuu! Ngoja niisome page by page phrase by phrase word by word. Kurasa 107 sio nyingi
 
Back
Top Bottom