Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
Wana jf kazi kwetu.​
Hii nayo kali kabisa! hii ni malalamiko kuhusu uhalali wa uchaguzi wa urais::
(4) Kwa madhumuni ya Ibara ndogo ya (3), Mahakama ya Juuinaweza kutoa uamuzi bila kutoa sababu za uamuzi na sababu hizozikatolewa ndani ya kipindi kisichozidi siku thelathini tangu siku ya
Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
Wana jf kazi kwetu.​