Pamoja na upole na sauti yake isiyo na makeke Rais wetu, sauti yake wakati anaadress kamati kuu inaonyesha ya unyonge sana, je ? ana hofu kuingia kwenye historia ambayo itaandika kwamba Muungano ulianzishwa na JK, umefia mikononi mwa Jk au ametoka na homa huko Japan.?