Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,126
Reaction score
2,306
Good day Great thinkers!

Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania.

Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri ya Muungano wa Tanzania ili tupate kuona kipi hasa kilicho pendekezwa na waTanzania.

Ukipata nafasi pitia PDF hii.
 

Attachments

ok.🐒
 
Sawa mkuu 🫡
 
Mnafikiri ni kitu cha kutunga Mkiwa mnavuta Bangi Maskani? Tuna Federal government au Union?
 
Imependekezwa lini na Nani aliyependekeza,ili tuendelee Sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…