Rasimu ya katiba mpya: Maraisi watatu kwenye nchi moja " big no"

Ni bora cc tukabak na tanganyika yetu tu, marais watatu katka nchi moja?? Hapa busara zitumike ni afadhal kuwe na serikal moja tu
 
Zimevunjika muungano zenye akili ujekuwa huu mzongano?zanzibar kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…