Nimeisoma rasimu nzima ya katiba mpya lakini sijaona sehemu yoyote ilipotajwa tanganyika,nijuavyo mimi tanzania ni munganiko wa baadhi ya herufi toka neno zanzibar na tanganyika.lakini katika ibara ya 57 ya rasimu inayoelezea muundo wa serikali 3 imetajwa (a) serikali ya muungano (b)serikali ya mapinduzi ya zanzibar na (c)serikali ya tanzania bara.hapa kwenye tanzania bara kwa nn isiwe serikali ya tanganyika?