Napata shaka na hadi kufikia kuhoji integrity ya mzee Warioba. Hivi ni kweli haoni jinsi rasimu hii ilivyotekwa kichama na hasa ku-CCM kwani hata mawaziri wa CCM wanatamka wazi juu ya nini wajumbe wa mabaraza wafanye hasa kuhusu hoja ya serikali tatu.
Mwanzo alikataa kuwepo kwa uteuzi wa kichama kwenye uundwaji wa mabaraza ingawa alikubali kwa mbali juu YA rushwa kutumika kwenye mchakato wa kuwapata wajumbe. Je anasubiri machafuko ndio aseme au anaongozwa na kufikiri kwa utashi wa kisiasa?