Malick M. Malick JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 658 Reaction score 312 Jun 30, 2013 #1 Kile kipengele cha kutaka kila jimbo kuwe na mwanamke,siungi mkono,kigezo kiwe uwezo sio JINSI,mambo Jinsia katika nafasi za ubunge sioni,wakitaka waweke katika makamu wa Rais au Mawaziri
Kile kipengele cha kutaka kila jimbo kuwe na mwanamke,siungi mkono,kigezo kiwe uwezo sio JINSI,mambo Jinsia katika nafasi za ubunge sioni,wakitaka waweke katika makamu wa Rais au Mawaziri