rasimu yakatiba hata kama ingekuwa na maneno mazuri kiasi gani kama imeshindwa kuwekamsingi mzuri wa usimamiaji wa katika yenyewe na vyombo na shughuli za vyombohivyo basi katiba hiyo inakuwa ni makaratasi tu lakini hakuna lolotelitakalotekelezwa.
Ki msingirasimu ya katiba ina mapendekezo yanayoharibuu mifumo yote ya usimamiajiutekelezaji wake na hivyo kupelekea kuwepo kwa katiba mpya kutokuwa na maanabali tutaendelea na mifumo ile ile .
Ubovu wa rasimu uko katika mianya mingi lakini katika sehemuya 1 tuangalie ibara ya 63
1. Rasimu inapora madaraka ya wananchi.
Kwa vipi?
Kwa mujibu wa ibara ya 63 ya rasimu, inapendekezwakuwa serikali ndio chombo chenye mamlaka ya juu dhidi ya bunge na mahakama huu ni uporaji wa madaraka kwa wananchi wenyelengo la kulidhoofisha bunge hata kama litakuwa na wabunge ambao si watendajiwa serikali ambao wanaweza kusimama kidete kuisimamia serikari lakini sasamadaraka waliyokuwa nayo katika katiba inayoisha kuwa bunge ndicho chombo kikuucha maamuzi katika jamhuri ambayowalishindwa kuyatumia kutokana na wao kuwa sehemu ya serikali sasa bungelinatengwa na serikali lakini wananyanganywa madaraka yao na kufanywa dhaifutena
Je ni chombo gani kinatakiwa kuwa namamlaka ya juu ya vyombo vingine?
Tuanze na maana fupi tukisema Tanzania tunamaana gani?
Hapa tunamaanisha watu zaidi ya milioni 40wanaomiriki mali iliyo ndani ya ardhi yenye mipaka inayotambulika kijiografia. Kutokanana kwamba watu wote wanamiliki mali hizi kwa pamoja inawalazimu kuunda chombocha kusimamia rasilimali zao na kuzitumia kuwaletea maendeleo na hiki chombondio serikali. Serikali ni sawasawa na kampuni kama watu wanavyowezakuunganisha rasilimali zao na kuunda kampuni ya kuzisimamia na kuzitumiakuwaletea faida.
Ki msingi watanzania wote tulitakiwakusimamia na kushauri chombo chetu hiki ambacho ni serikali. Ki halisia nivigumu watu zaidi ya milioni 40 tuwe tunakusanyika sote kupewa taarifa yauendeshaji wa mali zetu hivyo hapa njia bora ikawa ni kuunda chombo chenyewawakilishi wa wananchi ambacho ni bunge kusimamia na serikali kwa niaba yawananchi. Kwa mantiki hiyo wananchi wamekasimu mamlaka yao kwa bunge ililifanye kazi ya wananchi kwa niaba yao. Bunge kwa maneno mengine ni kama bodiya kampuni.
Ukisoma ibara ya 6 inataja mamlaka yawananchi ambayo imekaa vizuri. Sasa iweje rasimu ya katiba hiyo hiyo baada yawananchi kuunda chombo na kukasimu madaraka yao kwa hicho chombo ibara ya 63ipendekeze serikali kuwa na mamlaka juu ya bunge ambayo tafsiri yake niserikari kuwa na mamlaka zaidi ya wananchi.
Katiba ya sasa iko sahihi kutaja kuwa bungendilo lenye mamlaka ya juu katika vyombo vya kiutendaji ingawa kutokana nabunge kuwa na muingiliano na serikali bado bunge lilishindwa kuwa chombo kikuucha maamuzi na hivyo kushindwa kuisimamia serikali. Tuliona tatizo hilitukaamua kuondoa muingiliano wa watendaji baina ya serikali na bunge ili bungelifanye kazi yake ya kusimamia na kushauri serikali lakini tukafanya kosa lilelile lililokuwepo kwa kuweka bunge chini ya serikali.
Bunge linatakiwa kusimamia serikali hivyobunge linatakiwa kuwa na mamlaka juu ya vyombo vyote vya utendajivilivyoanishwa katika ibara ya 61 (1) . Kimsingi serikali ndio ilitakiwa kuwana mamlaka ya mwisho kwani hata mahakama kiutendaji inaielekeza serikali ifanyenini lakini serikali haiwezi kuielekeza mahakama cha kufanya sasa hapo sijuinani anatakiwa kuwa mkubwa. Kuiweka serikali juu ya mihimili mingine nikuwanyanganya madaraka wananchi, ni kujenga kiburi kwa serikali kukaidi maagizona maazimio ya mihimili mingine jambo litakalochangia upotevu wa mali na hakiza watanzania
Kwenyerasimu ya II ya katiba ni mbovu 2: tutazungumzia jinsi rasimu ilivyouamhimili wa mahakama na kuufanya taasisi ya serikali lengo likiwa ni kuhakikishawatanzania tunapata katiba ya kutuletea maendeleo