Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau nadhani wote tunakumbuka kuwa Suala la KATIBA MPYA iliundwa TUME ya JAJI WARIOBA na Kuandaa RASIMU ya KATIBA lakini Mchakato ulikwama Kwenye BUNGE la KATIBA.
Gharama ya Tume,Rasimu Mpaka Bunge la Katiba ni KUBWA sana Wote ni Mashahidi na KATIBA HAIKUPATIKANA.
Binafsi nashangaa sana Kuona Kazi iliyotumia KIASI Kikubwa cha FEDHA ambazi ni KODI za MASIKINI leo inataka kuachwa na KUUNDA KIKOSI KAZI ambacho nacho kitafanya kazi ile ile ya TUME ya WARIOBA na kutumia tena MABILIONI ya KODI za Wananchi.
RASIMU ya WARIOBA ina KATIBA na TUME Huru ya UCHAGUZU na hiki KIKOSI KAZI kitafanya kazi hiyo hiyo BINAFSI nashauri TUTUMIE RASIMU ya WARIOBA ili kupata KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI badala ya Kuanza UPYA Kufanya hivyo kutatuharakishia Upatikanaji wa KATIBA na TUME HURU na kama kuna Maboresho basi Yafanyike kwenye RASIMU ya WARIOBA ambayo ipo KISHERIA lakini KIKOSI KAZI hakipo Kisheria.
KIKOSI KAZI kipo KUTUMIA KODI za MASIKINI na KUCHELEWESHA UPATIKANAJI wa KATIBA na Wajumbe wake ni WAPIGAJI TU.