Rasmi: Aguero ajiunga na Barcelona

tc_edo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
123
Reaction score
98
Sergio Kun Aguero [emoji1033] amekamilisha usajili wake kujiunga na FC Barcelona baada ya kumaliza vipimo vya afya hivi leo, jumatatu 31 2021. Aguero [emoji1033] (32) amesaini mkataba wa miaka miwili ukiwa na kipengele cha kumwachia endapo timu inayomtaka au yeye mwenyewe italipa/atalipa Euro Million 100 (€100) kabla ya mkabata kuisha. Atajiunga rasmi tarehe 1 July 2021.

Manchester City wamemshukuru Aguero [emoji1033] wakisema, " Kila mtu katika klabu yetu ( Manchester City) anapenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani kwa Aguero [emoji1033] , kwa mchango wake mkubwa hasa mafanikio katika klabu ndani ya miaka yote 10 hivyo nasi tunamtakia kila la kheri."

Aguero [emoji1033] anajiunga na rafiki yake mkubwa, Lionel Messi [emoji1033] [emoji238]. Ageuro [emoji1033] amefunga magoli 260 kati ya mechi 389 ndani ya miaka 10.


 
Halafu suarez ana 34 yearssss lakini moto wake bado hujaonekana kufifia wacha tusubir msimu huuu
 
Kwani Messi amesaini mkataba mpya au hatim a yake barce iko vipi
 
Hao jamaa wanatapatapa tu, walimuacha Suarez kwa dharau sasa hv wanajuta!!
Barcelona iliyumba na bado wako vibaya kiuchumi.. Ingawa hawakusema wazi ila waliacha wachezaji wengi kisa mishahara (wage) ilikua mikubwa na wakazidiwa.
Messi anachukua parefu ila ndo ivyo ni muhimu sana, ndo mana Aguero mshara wake amepunguziwa tofaut na ule wa city
 
Iliniuma sana Suarez kuondolewa...lakini Kun Aguero amekuja kuondoa maumivu, na kutupa hope. Sina shaka na Kun, jamaa ni fundi/mpambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…