kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 725
- 917
Beki wa kati wa klabu ya Simba SC , Abdulrazack Hamza bado hajafanya mazoezi na klabu yake tangu alipopata majeraha ya njama za paja akiwa timu ya taifa ( Taifa Stars )
Taarifa zinaeleza kuwa hakuna matarajio ya Abdulrazack Hamza kufanya mazoezi na klabu yake hiyo kuelekea mechi dhidi ya Yanga na kwa taarifa zinaeleza kuwa kuna nafasi kubwa kuikosa Derby ya Kariakoo Oct 19 , 2024 .
Source : @officialfelixtz
NOTE
Mabeki wa kati wa Simba waliofit
1: Che Malone
2: Chamou Karaboue
3: Benjamin
Ina maana akiba ipo vizuri ?🤔 Kazi kwa Fadlu Davids