Beki wa kati wa klabu ya Simba SC , Abdulrazack Hamza bado hajafanya mazoezi na klabu yake tangu alipopata majeraha ya njama za paja akiwa timu ya taifa ( Taifa Stars )
Taarifa zinaeleza kuwa hakuna matarajio ya Abdulrazack Hamza kufanya mazoezi na klabu yake hiyo kuelekea mechi dhidi ya Yanga na kwa taarifa zinaeleza kuwa kuna nafasi kubwa kuikosa Derby ya Kariakoo Oct 19 , 2024 .
Source : @officialfelixtz
NOTE
Mabeki wa kati wa Simba waliofit
1: Che Malone
2: Chamou Karaboue
3: Benjamin
Ina maana akiba ipo vizuri ?🤔 Kazi kwa Fadlu Davids
Ni beki kisiki kwa timu gani?Beki wa kati wa klabu ya Simba SC , Abdulrazack Hamza bado hajafanya mazoezi na klabu yake tangu alipopata majeraha ya njama za paja akiwa timu ya taifa ( Taifa Stars )
Taarifa zinaeleza kuwa hakuna matarajio ya Abdulrazack Hamza kufanya mazoezi na klabu yake hiyo kuelekea mechi dhidi ya Yanga na kwa taarifa zinaeleza kuwa kuna nafasi kubwa kuikosa Derby ya Kariakoo Oct 19 , 2024 .
Source : @officialfelixtz
NOTE
Mabeki wa kati wa Simba waliofit
1: Che Malone
2: Chamou Karaboue
3: Benjamin
Ina maana akiba ipo vizuri ?🤔 Kazi kwa Fadlu Davids
Yani taarifa unayoiita kuwa ni official haijatoka Simba na wewe unabeba tu mauchafu kuja kumwaga humu.Beki wa kati wa klabu ya Simba SC , Abdulrazack Hamza bado hajafanya mazoezi na klabu yake tangu alipopata majeraha ya njama za paja akiwa timu ya taifa ( Taifa Stars )
Taarifa zinaeleza kuwa hakuna matarajio ya Abdulrazack Hamza kufanya mazoezi na klabu yake hiyo kuelekea mechi dhidi ya Yanga na kwa taarifa zinaeleza kuwa kuna nafasi kubwa kuikosa Derby ya Kariakoo Oct 19 , 2024 .
Source : @officialfelixtz
NOTE
Mabeki wa kati wa Simba waliofit
1: Che Malone
2: Chamou Karaboue
3: Benjamin
Ina maana akiba ipo vizuri ?🤔 Kazi kwa Fadlu Davids
Hujui mpiraNi beki kisiki kwa timu gani?
Sioni beki wa kuwazuia wachezaji wa Yanga. HAPO SIMBA HAKUNA. HAKUNAA.
Hapo Simba hakuna beki wa kuwazuia kina Maxi na wenzake.Hujui mpira
Baada ya kuona bandiko hili nlitegemea kukutana na jibu kama hili hahaaTunataka awepo ili kusiwe na visingizio
Na huu umaamuma ndio tunautaka iluendelee hivyo hivyo. Muda sio mrefu Gamondi anafutwa kibaruaNi beki kisiki kwa timu gani?
Sioni beki wa kuwazuia wachezaji wa Yanga. HAPO SIMBA HAKUNA. HAKUNAA.
🤣🤣🤣🤣you must be sickNa huu umaamuma ndio tunautaka iluendelee hivyo hivyo. Muda sio mrefu Gamondi anafutwa kibarua